Proverbs 11:8
Mtu mwenye haki huokolewa kutoka taabu, 2 naye mtu mwovu huingia humo badala yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The righteous is delivered out of trouble, and the wicked cometh in his stead.
In Context
Cross References
Esther 7:10Kwa hiyo wakamtundika Hamani mahali alipokuwa ameandaa kwa ajili ya Mordekai. Ndipo ghadhabu ya mfalme ikatulia.
Proverbs 21:18Waovu huwa fidia kwa ajili ya wenye haki, 2 nao wasio waaminifu kwa ajili ya wanyofu. 1
Daniel 6:23Mfalme akafurahi mno, naye akatoa amri Danieli atolewe kutoka kwa lile tundu. Danieli alipotolewa kutoka kwa lile tundu, hakukutwa na jeraha lolote, kwa sababu alikuwa amemtumaini Mungu wake.