The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 10 › Proverbs 10:20

Proverbs 10:20

Ulimi wa mwenye haki ni fedha iliyo bora, 2 bali moyo wa mwovu una thamani ndogo. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The tongue of the just is as choice silver: the heart of the wicked is little worth.

In Context

19Wakati maneno ni mengi, dhambi haikosekani, 2 lakini yeye ambaye huzuia ulimi wake ni mwenye busara. 1

21Midomo ya mwenye haki hulisha wengi, 2 lakini wapumbavu hufa kwa kukosa ufahamu. 1

Read all of Proverbs 10

Cross References

Genesis 8:21Bwana akasikia harufu nzuri ya kupendeza, naye akasema moyoni mwake, “Kamwe sitailaani tena ardhi kwa sababu ya mwanadamu, hata ingawa kila mwelekeo wa moyo wake ni mbaya tangu ujana. Kamwe sitaangamiza tena viumbe hai vyote kama nilivyofanya. 1

Proverbs 8:19Tunda langu ni bora kuliko dhahabu safi; 2 kile nitoacho hupita fedha iliyo bora. 1

Proverbs 15:4Ulimi uletao uponyaji ni mti wa uzima, 2 bali ulimi udanganyao huponda roho. 1

Proverbs 20:15Dhahabu kunayo, na marijani kwa wingi, 2 lakini midomo inenayo maarifa 2 ni kito cha thamani kilicho adimu. 1

Proverbs 25:11Neno lisemwalo kwa wakati ufaao 2 ni kama matunda ya mtofaa ya dhahabu 2 yaliyowekwa kwenye vijalizo vya fedha. 1

Matthew 12:34Enyi uzao wa nyoka! Mnawezaje kunena mambo mema, wakati ninyi ni waovu? Kwa maana kinywa cha mtu huyanena yale yaliyoujaza moyo wake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 10:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 10:19Proverbs 10Proverbs 10:21 →