The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 12 › Proverbs 12:2

Proverbs 12:2

Mtu mwema hupata kibali kutoka kwa Bwana, 2 bali Bwana humhukumu mwenye hila. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

A good man obtaineth favour of the LORD: but a man of wicked devices will he condemn.

In Context

1Yeyote apendaye kuadibishwa hupenda maarifa, 2 bali yeye achukiaye kuonywa ni mpumbavu. 1

3Mtu hathibitiki kutokana na uovu, 2 bali mwenye haki hataondolewa. 1

Read all of Proverbs 12

Cross References

Psalms 9:15Mataifa wameanguka kwenye shimo walilolichimba, 2 miguu yao imenaswa kwenye wavu waliouficha. 1

Proverbs 1:31watakula matunda ya njia zao, 2 na watashibishwa matunda ya hila zao. 1

Proverbs 8:35Kwa maana yeyote anipataye mimi amepata uzima 2 na kujipatia kibali kutoka kwa Bwana. 1

Ecclesiastes 8:8Hakuna mwanadamu 2 awezaye kushikilia roho yake asife, 1 wala hakuna mwenye uwezo 2 juu ya siku ya kufa kwake. 1 Kama vile hakuna yeyote arudishwaye nyuma wakati wa vita, 2 kadhalika uovu hautawaweka huru wale wautendao.

Acts 11:24Barnaba alikuwa mtu mwema, aliyejaa Roho Mtakatifu, mwenye imani, nayo idadi kubwa ya watu wakaongezeka kwa Bwana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 12:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 12:1Proverbs 12Proverbs 12:3 →