Mithali 8:35
Kwa maana yeyote anipataye mimi amepata uzima 2 na kujipatia kibali kutoka kwa Bwana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For whoso findeth me findeth life, and shall obtain favour of the LORD.
In Context
36Lakini yeyote ashindwaye kunipata 2 hujiumiza mwenyewe; 2 na wote wanichukiao mimi hupenda mauti.”
Cross References
Proverbs 1:33Lakini yeyote anisikilizaye ataishi kwa usalama, 2 atatulia, bila kuwa na hofu ya madhara.”
Proverbs 4:13Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; 2 mshike, maana yeye ni uzima wako. 1
Proverbs 12:2Mtu mwema hupata kibali kutoka kwa Bwana, 2 bali Bwana humhukumu mwenye hila. 1
John 3:16“Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
John 14:6Yesu akawaambia, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima. Mtu hawezi kuja kwa Baba isipokuwa kwa kupitia kwangu.
Ephesians 1:6Kwa hiyo tunamsifu Mungu kwa huruma zake kuu alizotumiminia sisi katika Mwanawe Mpendwa.