The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 12 › Proverbs 12:27

Proverbs 12:27

Mtu mvivu haoki mawindo yake, 2 bali mtu mwenye bidii ana mali za thamani. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The slothful man roasteth not that which he took in hunting: but the substance of a diligent man is precious.

In Context

26Mtu mwenye haki ni mwangalifu katika urafiki, 2 bali njia ya waovu huwapotosha. 1

28Katika njia ya haki kuna uzima; 2 katika mapito hayo kuna maisha ya milele.

Read all of Proverbs 12

Cross References

Psalms 37:16Bora kidogo walicho nacho wenye haki 2 kuliko wingi wa mali wa waovu wengi; 1

Proverbs 13:4Mvivu hutamani sana na hapati kitu, 2 bali nafsi ya mwenye bidii 2 hutoshelezwa kikamilifu. 1

Proverbs 16:8Afadhali kitu kidogo pamoja na haki 2 kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu. 1

Proverbs 26:14Kama vile mlango ugeukavyo kwenye bawaba zake, 2 ndivyo mvivu ajigeuzavyo kitandani mwake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 12:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 12:26Proverbs 12Proverbs 12:28 →