Proverbs 16:8
Afadhali kitu kidogo pamoja na haki 2 kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Better is a little with righteousness than great revenues without right.
In Context
7Njia za mtu zinapompendeza Bwana, 2 huwafanya hata adui zake waishi naye kwa amani. 1
9Moyo wa mtu huifikiri njia yake, 2 bali Bwana huelekeza hatua zake. 1
Cross References
Psalms 37:16Bora kidogo walicho nacho wenye haki 2 kuliko wingi wa mali wa waovu wengi; 1
Proverbs 15:17Afadhali chakula cha mboga mahali palipo na upendo 2 kuliko nyama ya ndama iliyonona pamoja na chuki. 1
Proverbs 21:6Mali iliyopatikana kwa ulimi wa uongo 2 ni mvuke upitao upesi na mtego wa kufisha. 1
Jeremiah 17:11Kama kware aanguaye mayai asiyoyataga, 2 ndivyo alivyo mtu apataye mali kwa njia zisizo za haki. 1 Maisha yake yafikapo katikati, siku zitamwacha, 2 na mwishoni atabainika kuwa mpumbavu. 1
1 Timothy 6:6Lakini utauwa na kuridhika ni faida kubwa.