The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 12 › Proverbs 12:28

Proverbs 12:28

Katika njia ya haki kuna uzima; 2 katika mapito hayo kuna maisha ya milele.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

In the way of righteousness is life; and in the pathway thereof there is no death.

In Context

27Mtu mvivu haoki mawindo yake, 2 bali mtu mwenye bidii ana mali za thamani. 1

Read all of Proverbs 12

Cross References

Deuteronomy 30:15Tazama, naweka mbele yako leo uzima na mafanikio, mauti na maangamizo.

Proverbs 8:35Kwa maana yeyote anipataye mimi amepata uzima 2 na kujipatia kibali kutoka kwa Bwana. 1

Proverbs 10:2Hazina zilizopatikana kwa njia mbaya hazifai, 2 lakini uadilifu huokoa kutoka mautini. 1

Proverbs 11:19Mtu mwenye haki kweli kweli hupata uzima, 2 bali yeye afuatiliaye ubaya huendea kifo chake. 1

Ezekiel 18:20Roho itendayo dhambi ndiyo itakayokufa. Mwana hataadhibiwa kwa ajili ya makosa ya baba yake, wala baba hataadhibiwa kwa ajili ya makosa ya mwanawe. Haki ya mtu mwenye haki itahesabiwa juu yake na uovu wa mtu mwovu utalipizwa juu yake.

Romans 6:22Lakini sasa kwa kuwa mmewekwa huru mbali na dhambi na mmekuwa watumwa wa Mungu, faida mnayopata ni utakatifu, ambao mwisho wake ni uzima wa milele.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 12:28

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 12:27Proverbs 12