Proverbs 12:5
Mipango ya mtu mwadilifu ni ya haki, 2 bali ushauri wa mwovu ni udanganyifu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The thoughts of the righteous are right: but the counsels of the wicked are deceit.
In Context
6Maneno ya waovu huotea kumwaga damu, 2 bali maneno ya waadilifu huwaokoa. 1
Cross References
Psalms 12:2Kila mmoja humwambia jirani yake uongo; 2 midomo yao ya hila huzungumza kwa udanganyifu. 1
Psalms 41:6Kila anapokuja mtu kunitazama, 2 huzungumza uongo, 1 huku moyo wake hukusanya masingizio; 2 kisha huondoka na kuyasambaza huku na huko. 1
Psalms 139:23Ee Mungu, nichunguze, uujue moyo wangu, 2 nijaribu na ujue mawazo yangu. 1
Proverbs 11:23Shauku ya mwenye haki huishia tu kwenye mema, 2 bali tumaini la mwovu huishia tu kwenye ghadhabu. 1
Proverbs 24:9Mipango ya upumbavu ni dhambi, 2 watu huchukizwa na mwenye dhihaka. 1
Jeremiah 4:14Ee Yerusalemu, usafishe uovu kutoka moyoni mwako na uokolewe. 2 Utaendelea kuficha mawazo mapotovu mpaka lini? 1