Proverbs 12:4
Mke mwenye tabia nzuri ni taji ya mumewe, 2 bali aaibishaye ni kama uozo 2 katika mifupa ya mumewe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Mtu hathibitiki kutokana na uovu, 2 bali mwenye haki hataondolewa. 1
5Mipango ya mtu mwadilifu ni ya haki, 2 bali ushauri wa mwovu ni udanganyifu. 1
Cross References
Proverbs 11:22Kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe 2 ndivyo alivyo mwanamke mzuri ambaye hana busara. 1
Proverbs 14:30Moyo wenye amani huupa mwili uzima, 2 bali wivu huozesha mifupa. 1
Proverbs 19:13Mwana mpumbavu ni maangamizi ya babaye, 2 naye mke mgomvi ni kama kutonatona kusikoisha. 1
Proverbs 21:19Ni afadhali kuishi jangwani 2 kuliko kuishi na mke mgomvi na mkorofi. 1
Proverbs 30:23mwanamke asiyependwa aolewapo, 2 naye mtumishi wa kike achukuapo nafasi ya bibi yake. 1
Proverbs 31:29“Wanawake wengi hufanya vitu vyenye sifa nzuri, 2 lakini wewe umewapita wote.” 1