Proverbs 11:23
Shauku ya mwenye haki huishia tu kwenye mema, 2 bali tumaini la mwovu huishia tu kwenye ghadhabu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The desire of the righteous is only good: but the expectation of the wicked is wrath.
In Context
22Kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe 2 ndivyo alivyo mwanamke mzuri ambaye hana busara. 1
24Kuna mtu atoaye kwa ukarimu, hata hivyo hupata zaidi, 2 mwingine huzuia, lakini huwa maskini. 1
Cross References
Psalms 27:4Jambo moja ninamwomba Bwana, 2 hili ndilo ninalolitafuta: 1 niweze kukaa nyumbani mwa Bwana 2 siku zote za maisha yangu, 1 niutazame uzuri wa Bwana 2 na kumtafuta hekaluni mwake. 1
Psalms 39:7“Lakini sasa Bwana, nitafute nini? 2 Tumaini langu ni kwako. 1
Psalms 119:10Ninakutafuta kwa moyo wangu wote, 2 usiniache niende mbali na amri zako. 1
Proverbs 11:7Wakati mtu mwovu anapokufa, matumaini yake hutoweka; 2 yote aliyoyatazamia kutokana na nguvu zake huwa si kitu. 1
Proverbs 13:2Kutoka tunda la midomo yake mtu hufurahia mambo mema, 2 bali wasio waaminifu wanatamani sana jeuri. 1
Jeremiah 17:16Sijakukimbia na kuacha kuwa mchungaji wako; 2 unajua sijaitamani siku ya kukata tamaa. 1 Kile kipitacho midomoni mwangu 2 ki wazi mbele yako. 1