Proverbs 12:7
Watu waovu huondolewa na kutoweka, 2 bali nyumba ya mwenye haki husimama imara. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The wicked are overthrown, and are not: but the house of the righteous shall stand.
In Context
6Maneno ya waovu huotea kumwaga damu, 2 bali maneno ya waadilifu huwaokoa. 1
8Mtu husifiwa kulingana na hekima yake, 2 bali watu wenye akili zilizopotoka hudharauliwa. 1
Cross References
2 Samuel 7:26ili kwamba jina lako litukuke milele. Ndipo watu watasema, ‘ Bwana Mwenye Nguvu Zote ni Mungu juu ya Israeli!’ Nayo nyumba ya mtumishi wako Daudi itakuwa imara mbele zako.
Esther 9:14Basi mfalme akaamuru kwamba hili litendeke. Amri ilitolewa huko Shushani, nao wakawanyonga wana kumi wa Hamani.
Job 11:20Bali macho ya waovu hayataona, 2 wokovu utawaepuka; 1 tarajio lao litakuwa ni hangaiko 2 la mtu anayekata roho.”
Job 27:18Nyumba aijengayo ni kama utando wa buibui, 2 kama kibanda alichotengeneza mlinzi. 1
Psalms 37:10Bado kitambo kidogo, nao waovu hawataonekana, 2 ingawa utawatafuta, hawataonekana. 1
Psalms 37:36lakini alitoweka mara na hakuonekana, 2 ingawa nilimtafuta, hakupatikana. 1