Proverbs 12:9
Heri mtu wa hali ya chini mwenye mtumishi, 2 kuliko kujifanya mtu wa hali ya juu nawe huna chakula. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Mtu husifiwa kulingana na hekima yake, 2 bali watu wenye akili zilizopotoka hudharauliwa. 1
10Mtu mwenye haki hujali mahitaji ya mnyama wake, 2 bali matendo ya huruma ya mwovu ni ukatili. 1
Cross References
Proverbs 13:7Mtu mmoja hujifanya tajiri, kumbe hana chochote; 1 mwingine hujifanya maskini, kumbe ana utajiri mwingi. 1