The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 13 › Proverbs 13:7

Proverbs 13:7

Mtu mmoja hujifanya tajiri, kumbe hana chochote; 1 mwingine hujifanya maskini, kumbe ana utajiri mwingi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

There is that maketh himself rich, yet hath nothing: there is that maketh himself poor, yet hath great riches.

In Context

6Haki humlinda mtu mwadilifu, 2 bali uovu humwangusha mwenye dhambi. 1

8Utajiri wa mtu waweza kukomboa maisha yake, 2 bali mtu maskini hasikii kitisho. 1

Read all of Proverbs 13

Cross References

Proverbs 11:24Kuna mtu atoaye kwa ukarimu, hata hivyo hupata zaidi, 2 mwingine huzuia, lakini huwa maskini. 1

Proverbs 13:11Fedha isiyo ya halali hupungua, 2 bali yeye akusanyaye fedha kidogo kidogo huongezeka. 1

Luke 12:21“Hivyo ndivyo ilivyo kwa wale wanaojiwekea mali lakini hawajitajirishi kwa Mungu.” 1 Msiwe Na Wasiwasi (Mathayo 6:25-34)

Luke 18:11Yule Farisayo, akasimama, akasali hivi na kuomba kwake mwenyewe: ‘Mungu, nakushukuru kwa sababu mimi si kama watu wengine ambao ni wanyangʼanyi, wadhalimu, na wazinzi, wala kama huyu mtoza ushuru.

1 Corinthians 4:10Kwa ajili ya Kristo sisi ni wajinga, lakini ninyi mna hekima sana ndani ya Kristo. Sisi tu dhaifu, lakini ninyi mna nguvu. Tunadharauliwa, lakini ninyi mnaheshimiwa.

2 Corinthians 6:10tukiwa kama wenye huzuni, lakini siku zote tukifurahi; tukionekana maskini, lakini tukitajirisha wengi; tukiwa kama wasio na kitu, lakini tuna vitu vyote.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 13:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 13:6Proverbs 13Proverbs 13:8 →