The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 13 › Proverbs 13:5

Proverbs 13:5

Mwenye haki huchukia uongo, 2 bali waovu huleta aibu na fedheha. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

A righteous man hateth lying: but a wicked man is loathsome, and cometh to shame.

In Context

4Mvivu hutamani sana na hapati kitu, 2 bali nafsi ya mwenye bidii 2 hutoshelezwa kikamilifu. 1

6Haki humlinda mtu mwadilifu, 2 bali uovu humwangusha mwenye dhambi. 1

Read all of Proverbs 13

Cross References

Psalms 119:163Ninachukia na kuchukizwa sana na uongo, 2 lakini napenda sheria yako. 1

Proverbs 6:17macho ya kiburi, 3 ulimi udanganyao, 3 mikono imwagayo damu isiyo na hatia, 3

Proverbs 30:8Uutenge mbali nami udanganyifu na uongo; 2 usinipe umaskini wala utajiri, 2 bali unipe chakula cha kunitosha kila siku. 1

Ezekiel 20:43Hapo ndipo nitakapokumbuka mwenendo wenu na matendo yenu yote ambayo kwayo mlijitia unajisi, nanyi mtajichukia wenyewe kwa ajili ya maovu yote mliyokuwa mmetenda.

Daniel 12:2Wengi ambao wamelala kwenye mavumbi wataamka, baadhi yao kwa uzima wa milele, wengine kwa aibu na kudharauliwa milele.

Ephesians 4:25Kwa hiyo kila mmoja wenu avue uongo na kuambiana kweli mtu na jirani yake, kwa maana sisi sote tu viungo vya mwili mmoja.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 13:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 13:4Proverbs 13Proverbs 13:6 →