Proverbs 14:13
Hata katika kicheko moyo waweza kuuma, 2 nayo furaha yaweza kuishia katika majonzi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Even in laughter the heart is sorrowful; and the end of that mirth is heaviness.
In Context
12Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu, 2 bali mwisho wake huelekeza mautini. 1
Cross References
Ecclesiastes 2:2Nikasema, “Kicheko nacho ni upumbavu. Nayo matokeo ya anasa ni nini?”
Ecclesiastes 7:5Afadhali kusikia karipio la mtu mwenye hekima, 2 kuliko kusikiliza wimbo wa wapumbavu. 1
Luke 16:25“Lakini Abrahamu akamjibu, ‘Mwanangu, kumbuka kwamba wakati wa uhai wako ulipata mambo mazuri, lakini Lazaro alipata mambo mabaya. Lakini sasa anafarijiwa hapa na wewe uko katika maumivu makuu.
Revelation 18:7Mpatie mateso na huzuni nyingi sawa na 2 utukufu na anasa alizojipatia. 1 Kwa kuwa moyoni mwake hujivuna, akisema, 2 ‘Mimi ninatawala kama malkia; 2 mimi si mjane, wala sitaona huzuni kamwe.’ 1