Proverbs 14:29
Mtu mwenye subira ana ufahamu mwingi, 2 bali anayekasirika haraka huonyesha upumbavu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He that is slow to wrath is of great understanding: but he that is hasty of spirit exalteth folly.
In Context
28Wingi wa watu ni utukufu wa mfalme, 2 bali pasipo watu mkuu huangamia. 1
30Moyo wenye amani huupa mwili uzima, 2 bali wivu huozesha mifupa. 1
Cross References
Numbers 12:3(Basi Mose alikuwa mtu mnyenyekevu sana, mnyenyekevu kuliko mtu mwingine yeyote katika uso wa dunia.)
Proverbs 14:17Mtu anayekasirika kwa haraka hufanya mambo ya upumbavu, 2 naye mtu wa hila huchukiwa. 1
Proverbs 16:32Ni afadhali mtu mstahimilivu kuliko shujaa, 2 mtu anayeitawala hasira yake kuliko yule autekaye mji. 1
Proverbs 22:24Usifanye urafiki na mtu mwenye hasira ya haraka, 2 usishirikiane na yule aliye mwepesi kukasirika, 1
Proverbs 25:28Kama vile mji ambao kuta zake zimebomoka 2 ndivyo alivyo mtu 2 ambaye hawezi kujitawala mwenyewe.
Ecclesiastes 7:9Usiwe mwepesi kukasirika rohoni mwako, 2 kwa kuwa hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu. 1