Proverbs 14:31
Yeye amwoneaye maskini huonyesha dharau kwa Muumba wao, 2 bali yeyote anayemhurumia mhitaji humheshimu Mungu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He that oppresseth the poor reproacheth his Maker: but he that honoureth him hath mercy on the poor.
In Context
30Moyo wenye amani huupa mwili uzima, 2 bali wivu huozesha mifupa. 1
32Waovu huangamizwa kwa matendo yao maovu, 2 bali hata katika kifo wenye haki hupata kimbilio. 1
Cross References
Leviticus 25:35“ ‘Ikiwa mmoja wa wazawa wa nchi yako amekuwa maskini, naye akashindwa kujitegemeza mwenyewe katikati yako, msaidie kama vile ambavyo ungelimsaidia mgeni au kama mkazi wa muda, ili aweze kuendelea kuishi katikati yako.
Psalms 12:5“Kwa sababu ya uonevu wa wanyonge 2 na kulia kwa uchungu kwa wahitaji, 1 nitainuka sasa,” asema Bwana. 2 “Nitawalinda kutokana na wale 2 wenye nia mbaya juu yao.” 1
Proverbs 17:5Yeye anaye mdhihaki maskini huonyesha dharau kwa Muumba wake; 2 yeyote afurahiaye maafa hataepuka kuadhibiwa. 1
Proverbs 22:2Tajiri na maskini wanafanana kwa hili: 2 Bwana ni Muumba wao wote. 1
Proverbs 22:22Usiwadhulumu maskini kwa sababu ni maskini, 2 wala kumdhulumu mhitaji mahakamani, 1
Matthew 25:40“Naye Mfalme atawajibu, ‘Amin nawaambia, kwa jinsi mlivyomtendea mmojawapo wa hawa ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.’