The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 14 › Proverbs 14:30

Proverbs 14:30

Moyo wenye amani huupa mwili uzima, 2 bali wivu huozesha mifupa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

A sound heart is the life of the flesh: but envy the rottenness of the bones.

In Context

29Mtu mwenye subira ana ufahamu mwingi, 2 bali anayekasirika haraka huonyesha upumbavu. 1

31Yeye amwoneaye maskini huonyesha dharau kwa Muumba wao, 2 bali yeyote anayemhurumia mhitaji humheshimu Mungu. 1

Read all of Proverbs 14

Cross References

1 Kings 21:6Akamjibu, “Kwa sababu nilimwambia Nabothi, Myezreeli, ‘Niuzie shamba lako la mizabibu, au kama ukipenda, nitakupa shamba jingine la mizabibu badala yake.’ Lakini akasema, ‘Sitakupa shamba langu la mizabibu.’ ”

Psalms 112:10Mtu mwovu ataona na kuchukizwa, 2 atasaga meno yake na kutoweka, 2 kutamani kwa mtu mwovu kutaishia patupu.

Proverbs 3:8Hii itakuletea afya mwilini mwako, 2 na mafuta kwenye mifupa yako. 1

Proverbs 12:4Mke mwenye tabia nzuri ni taji ya mumewe, 2 bali aaibishaye ni kama uozo 2 katika mifupa ya mumewe. 1

Acts 7:9“Kwa sababu wazee wetu walimwonea wivu Yosefu ndugu yao, walimuuza kama mtumwa huko Misri. Lakini Mungu alikuwa pamoja naye.

2 Timothy 1:7Maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali roho ya nguvu, ya upendo na ya moyo wa kiasi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 14:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 14:29Proverbs 14Proverbs 14:31 →