Proverbs 17:5
Yeye anaye mdhihaki maskini huonyesha dharau kwa Muumba wake; 2 yeyote afurahiaye maafa hataepuka kuadhibiwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Mtu mwovu husikiliza midomo mibaya; 2 mwongo husikiliza kwa makini ulimi wa madhara. 1
6Wana wa wana ni taji la wazee, 2 nao wazazi ni fahari ya watoto wao. 1
Cross References
Job 31:29“Kama nimeshangilia msiba wa adui yangu, 2 au kutazama kwa furaha taabu iliyomjia, 1
Proverbs 14:21Yeye anayemdharau jirani yake hutenda dhambi, 2 bali amebarikiwa yeye aliye na huruma kwa mhitaji. 1
Proverbs 16:5Bwana huwachukia sana wote wenye kiburi cha moyo. 2 Uwe na hakika kwa hili: Hawataepuka kuadhibiwa. 1
Jeremiah 17:16Sijakukimbia na kuacha kuwa mchungaji wako; 2 unajua sijaitamani siku ya kukata tamaa. 1 Kile kipitacho midomoni mwangu 2 ki wazi mbele yako. 1
Obadiah 1:10Kwa sababu ya jeuri uliyofanya dhidi ya ndugu yako Yakobo, 2 aibu itakufunika; 2 utaangamizwa milele. 1
Obadiah 1:12Usingemdharau ndugu yako 2 katika siku ya msiba wake, 1 wala kufurahia juu ya watu wa Yuda 2 katika siku ya maangamizi yao, 1 wala kujigamba sana 2 katika siku ya taabu yao. 1