The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 14 › Proverbs 14:34

Proverbs 14:34

Haki huinua taifa, 2 bali dhambi ni aibu kwa watu wote. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Righteousness exalteth a nation: but sin is a reproach to any people.

In Context

33Hekima hukaa katika moyo wa mwenye ufahamu 2 bali haijulikani miongoni mwa wapumbavu. 1

35Mfalme hupendezwa na mtumishi mwenye hekima, 2 bali ghadhabu yake humwangukia 2 mtumishi mwenye kuaibisha.

Read all of Proverbs 14

Cross References

Deuteronomy 28:1Kama ukimtii Bwana Mungu wako kwa bidii na kufuata amri zake zote ninazokupa leo kwa bidii, Bwana Mungu wako atakuweka juu ya mataifa yote katika dunia.

Judges 2:6Baada ya Yoshua kuwapa watu ruhusa waende zao, Waisraeli wakaenda kwenye urithi wao wenyewe ili kumiliki nchi yao.

Psalms 107:34nchi izaayo ikawa ya chumvi isiyofaa, 2 kwa sababu ya uovu wa wale walioishi humo. 1

Jeremiah 2:2“Nenda ukahubiri masikioni mwa watu wa Yerusalemu: 1 “ ‘Nakumbuka moyo wako wa uchaji katika ujana wako, 2 jinsi ulivyonipenda kama bibi arusi 1 na kunifuata katika jangwa lile lote, 2 katika nchi isiyopandwa mbegu. 1

Ezekiel 22:1Neno la Bwana likanijia kusema:

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 14:34

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 14:33Proverbs 14Proverbs 14:35 →