Proverbs 14:35
Mfalme hupendezwa na mtumishi mwenye hekima, 2 bali ghadhabu yake humwangukia 2 mtumishi mwenye kuaibisha.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The king’s favour is toward a wise servant: but his wrath is against him that causeth shame.
In Context
34Haki huinua taifa, 2 bali dhambi ni aibu kwa watu wote. 1
Cross References
Genesis 41:38Hivyo Farao akawauliza, “Je tunaweza kumpata yeyote kama mtu huyu, ambaye Roho wa Mungu yumo ndani yake?”
Psalms 101:4Moyo wa ukaidi utakuwa mbali nami; 2 nitajitenga na kila ubaya. 1
Proverbs 16:13Wafalme hufurahia midomo ya uaminifu; 2 humthamini mtu asemaye kweli. 1
Proverbs 19:12Ghadhabu ya mfalme ni kama mngurumo wa simba, 2 bali wema wake ni kama umande juu ya nyasi. 1
Proverbs 20:8Wakati mfalme aketipo katika kiti chake cha enzi kuhukumu, 2 hupepeta ubaya wote kwa macho yake. 1
Proverbs 22:11Yeye apendaye moyo safi na yeye ambaye maneno yake ni ya neema, 2 mfalme atakuwa rafiki yake. 1