Proverbs 15:11
Mauti + 15:11 Yaani Sheol, maana yake ni Kuzimu. na Uharibifu + 15:11 Kwa Kiebrania ni Abadon. viko wazi mbele za Bwana: 2 je, si zaidi sana mioyo ya wanadamu! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hell and destruction are before the LORD: how much more then the hearts of the children of men?
In Context
10Adhabu kali humngoja yeye aachaye njia; 2 yeye achukiaye maonyo atakufa. 1
12Mwenye mzaha huchukia maonyo; 2 hatataka shauri kwa mwenye hekima. 1
Cross References
2 Chronicles 6:30basi usikie kutoka mbinguni, katika makao yako. Usamehe na utende, umpe kila mtu kulingana na matendo yake, kwa kuwa unaujua moyo wake (kwa kuwa ni wewe peke yako ujuaye mioyo ya watu wote),
Psalms 7:9Ee Mungu mwenye haki, 2 uchunguzaye mawazo na mioyo, 1 komesha ghasia za waovu 2 na ufanye wenye haki waishi kwa amani. 1
Psalms 139:8Kama nikienda juu mbinguni, wewe uko huko; 2 nikifanya vilindi + 139:8 Vilindi ina maana ya Kuzimu, ambayo ni Sheol kwa Kiebrania. kuwa kitanda changu, 2 wewe uko huko. 1
Jeremiah 17:10“Mimi Bwana huchunguza moyo 2 na kuzijaribu nia, 1 ili kumlipa mtu kwa kadiri ya mwenendo wake, 2 kwa kadiri ya matendo yake yanavyostahili.” 1
John 21:17Kwa mara ya tatu Yesu akamuuliza Petro, “Simoni mwana wa Yohana, unanipenda?” Petro akahuzunika sana kwa kuwa Yesu alimuuliza mara ya tatu, “Unanipenda?” Akamjibu, “Bwana, wewe unajua yote, unajua ya kuwa ninakupenda.” Yesu akamwambia, “Lisha kondoo wangu.
Revelation 1:18Mimi ni Yeye Aliye Hai, niliyekuwa nimekufa, na tazama, ni hai milele na milele! Nami ninazo funguo za mauti na kuzimu. + 1:18 Kuzimu linalotokana na neno Hades la Kiyunani au Sheol kwa Kiebrania; maana yake ni mahali pa mateso kwa watu waliopotea.