Proverbs 15:12
Mwenye mzaha huchukia maonyo; 2 hatataka shauri kwa mwenye hekima. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A scorner loveth not one that reproveth him: neither will he go unto the wise.
In Context
13Moyo wenye furaha hufanya uso uchangamke, 2 bali maumivu ya moyoni huponda roho. 1
Cross References
2 Chronicles 18:7Mfalme wa Israeli akamjibu Yehoshafati, “Bado yupo mtu mmoja ambaye kupitia yeye twaweza kumuuliza shauri la Bwana, lakini namchukia kwa sababu huwa hatabiri jambo lolote jema kunihusu mimi, lakini kila mara hunitabiria mabaya tu. Yeye ni Mikaya mwana wa Imla.” Yehoshafati akajibu, “Mfalme hapaswi kusema hivyo.”
Proverbs 1:22“Enyi wajinga, mtangʼangʼania ujinga wenu hadi lini? 2 Mpaka lini wenye mizaha watafurahia mizaha, 2 na wapumbavu kuchukia maarifa? 1
Proverbs 13:1Mwana mwenye hekima husikia mafundisho ya babaye, 2 bali mwenye dharau hasikilizi maonyo. 1
Proverbs 15:10Adhabu kali humngoja yeye aachaye njia; 2 yeye achukiaye maonyo atakufa. 1
John 3:18Yeyote amwaminiye hahukumiwi, lakini asiyeamini amekwisha kuhukumiwa, kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.
2 Timothy 4:3Maana wakati utakuja watu watakapokataa kuyakubali mafundisho yenye uzima. Badala yake, ili kutimiza tamaa zao wenyewe, watajikusanyia idadi kubwa ya walimu wapate kuwaambia yale ambayo masikio yao yanayowasha yanatamani kuyasikia.