Proverbs 15:7
Midomo ya mwenye hekima hueneza maarifa, 2 bali sivyo ilivyo mioyo ya wapumbavu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The lips of the wise disperse knowledge: but the heart of the foolish doeth not so.
In Context
6Nyumba ya mwenye haki ina hazina kubwa, 2 bali mapato ya waovu huwaletea taabu. 1
8Bwana huchukia sana dhabihu za waovu, 2 bali maombi ya wanyofu humfurahisha Mungu. 1
Cross References
Psalms 37:30Kinywa cha mwenye haki hutamka hekima, 2 nao ulimi wake huzungumza lililo haki. 1
Psalms 51:13Ndipo nitakapowafundisha wakosaji njia zako, 2 na wenye dhambi watakugeukia wewe. 1
Psalms 78:2Nitafungua kinywa changu kwa mafumbo, 2 nitazungumza mambo yaliyofichika, mambo ya kale: 1
Proverbs 5:2ili uweze kutunza busara 2 na midomo yako ihifadhi maarifa. 1
Proverbs 10:21Midomo ya mwenye haki hulisha wengi, 2 lakini wapumbavu hufa kwa kukosa ufahamu. 1
Ecclesiastes 10:2Moyo wa mwenye hekima huelekea kuume, 2 lakini moyo wa mpumbavu huelekea kushoto. 1