Proverbs 15:8
Bwana huchukia sana dhabihu za waovu, 2 bali maombi ya wanyofu humfurahisha Mungu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Midomo ya mwenye hekima hueneza maarifa, 2 bali sivyo ilivyo mioyo ya wapumbavu. 1
9Bwana huchukia sana njia ya waovu, 2 bali huwapenda wale wafuatao haki. 1
Cross References
1 Kings 3:10Bwana akapendezwa kwamba Solomoni ameliomba jambo hili.
Psalms 17:1Sikia, Ee Bwana, kusihi kwangu kwa haki, 2 sikiliza kilio changu. 1 Tega sikio kwa ombi langu, 2 halitoki kwenye midomo ya udanganyifu. 1
Proverbs 15:29Bwana yuko mbali na waovu, 2 bali husikia maombi ya wenye haki. 1
Proverbs 28:9Kama mtu yeyote akikataa kusikia sheria, 2 hata maombi yake ni chukizo. 1
Song of Solomon 2:14Hua wangu penye nyufa za majabali, 2 mafichoni pembezoni mwa mlima, 1 nionyeshe uso wako, 2 na niisikie sauti yako, 1 kwa maana sauti yako ni tamu, 2 na uso wako unapendeza. 1
Isaiah 1:11Bwana anasema, “Wingi wa sadaka zenu, 2 ni kitu gani kwangu? 1 Ninazo sadaka za kuteketezwa nyingi kupita kiasi, 2 za kondoo dume na mafuta ya wanyama walionona. 1 Sipendezwi na damu za mafahali 2 wala za wana-kondoo na mbuzi. 1