Proverbs 10:21
Midomo ya mwenye haki hulisha wengi, 2 lakini wapumbavu hufa kwa kukosa ufahamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The lips of the righteous feed many: but fools die for want of wisdom.
In Context
20Ulimi wa mwenye haki ni fedha iliyo bora, 2 bali moyo wa mwovu una thamani ndogo. 1
22Baraka ya Bwana hutajirisha, 2 wala haichanganyi huzuni. 1
Cross References
Job 23:12Sijaziacha amri zilizotoka midomoni mwake; 2 nimeyathamini maneno ya kinywa chake kuliko chakula changu cha kila siku. 1
Psalms 37:30Kinywa cha mwenye haki hutamka hekima, 2 nao ulimi wake huzungumza lililo haki. 1
Proverbs 1:31watakula matunda ya njia zao, 2 na watashibishwa matunda ya hila zao. 1
Proverbs 5:2ili uweze kutunza busara 2 na midomo yako ihifadhi maarifa. 1
Proverbs 5:23Atakufa kwa kukosa nidhamu, 2 akipotoshwa kwa upumbavu wake mwenyewe.
Proverbs 15:4Ulimi uletao uponyaji ni mti wa uzima, 2 bali ulimi udanganyao huponda roho. 1