Proverbs 15:9
Bwana huchukia sana njia ya waovu, 2 bali huwapenda wale wafuatao haki. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Bwana huchukia sana dhabihu za waovu, 2 bali maombi ya wanyofu humfurahisha Mungu. 1
10Adhabu kali humngoja yeye aachaye njia; 2 yeye achukiaye maonyo atakufa. 1
Cross References
Psalms 5:5Wenye kiburi hawawezi kusimama mbele yako, 2 unawachukia wote watendao mabaya. 1
Psalms 146:8Bwana huwafumbua vipofu macho, 1 Bwana huwainua waliolemewa na mizigo yao, 2 Bwana huwapenda wenye haki. 1
Proverbs 21:4Macho ya kudharau na moyo wa kiburi, 2 ambavyo ni taa ya waovu, vyote ni dhambi! 1
Proverbs 21:21Yeye afuatiaye haki na upendo 2 hupata uzima, mafanikio na heshima. 1
Isaiah 51:1“Nisikilizeni, ninyi mnaofuatia haki 2 na mnaomtafuta Bwana: 1 Tazameni mwamba ambako mlichongwa, 2 na mahali pa kuvunjia mawe ambako mlichimbwa; 1
Jeremiah 44:4Tena na tena, niliwatuma watumishi wangu manabii ambao walisema, ‘Msifanye jambo hili la kuchukiza ambalo nalichukia!’