Proverbs 16:7
Njia za mtu zinapompendeza Bwana, 2 huwafanya hata adui zake waishi naye kwa amani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When a man’s ways please the LORD, he maketh even his enemies to be at peace with him.
In Context
6Kwa upendo na uaminifu uovu huondolewa; 2 kwa kumcha Bwana mtu hujiepusha na ubaya. 1
8Afadhali kitu kidogo pamoja na haki 2 kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu. 1
Cross References
Genesis 27:41Esau akawa na kinyongo dhidi ya Yakobo kwa ajili ya baraka ambazo baba yake alikuwa amembariki. Akasema moyoni mwake, “Siku za kuomboleza kwa ajili ya baba yangu zimekaribia, ndipo nitamuua ndugu yangu Yakobo.”
Genesis 32:28Ndipo yule mtu akasema, “Jina lako halitakuwa tena Yakobo, bali Israeli, + 32:28 Israeli maana yake Yeye ashindanaye na Mungu. kwa sababu umeshindana na Mungu na watu pia, nawe umeshinda.”
2 Chronicles 17:10Hofu ya Bwana ikawa juu ya falme zote za nchi zilizozunguka Yuda, hivyo hawakufanya vita na Yehoshafati.
Ezra 8:36Pia walikabidhi manaibu wa mfalme na watawala wa Ngʼambo ya Mto Frati maagizo ya mfalme, ambao baadaye walitoa msaada kwa watu na kwa nyumba ya Mungu.
Jeremiah 15:11Bwana akasema, 1 “Hakika nitakuokoa kwa kusudi jema, 2 hakika nitawafanya adui zako wakuombe msaada 2 nyakati za maafa na nyakati za dhiki. 1
Acts 9:1Wakati ule ule, Sauli alikuwa bado anazidisha vitisho vya kuua wanafunzi wa Bwana, akamwendea kuhani mkuu,