Proverbs 16:9
Moyo wa mtu huifikiri njia yake, 2 bali Bwana huelekeza hatua zake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A man’s heart deviseth his way: but the LORD directeth his steps.
In Context
8Afadhali kitu kidogo pamoja na haki 2 kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu. 1
10Midomo ya mfalme huzungumza kwa hekima ya kiungu, 2 wala kinywa chake hakipotoshi haki. 1
Cross References
2 Chronicles 22:7Mungu alikuwa ameamuru kwamba kuanguka kwa Ahazia kungetokea atakapokwenda kumwona Yoramu. Ahazia alipowasili, wakatoka pamoja na Yoramu ili kwenda kukutana na Yehu mwana wa Nimshi, ambaye Bwana alikuwa amemtia mafuta kuangamiza nyumba ya Ahabu.
Proverbs 16:1Mipango ya moyoni ni ya mwanadamu, 2 bali jibu la ulimi hutoka kwa Bwana. 1
Proverbs 20:24Hatua za mtu huongozwa na Bwana. 2 Anawezaje basi mtu yeyote kuelewa njia yake mwenyewe? 1
Proverbs 21:30Hakuna hekima, wala akili, wala mpango 2 unaoweza kufaulu dhidi ya Bwana. 1
Jeremiah 10:23Ninajua, Ee Bwana, kwamba maisha ya mwanadamu si yake mwenyewe; 2 hawezi kuziongoza hatua zake mwenyewe. 1