Proverbs 17:1
Afadhali kula ukoko mkavu ukiwa na amani na utulivu 2 kuliko kukaa kwenye nyumba ya karamu kukiwa na magomvi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Better is a dry morsel, and quietness therewith, than an house full of sacrifices with strife.
In Context
Cross References
Psalms 37:16Bora kidogo walicho nacho wenye haki 2 kuliko wingi wa mali wa waovu wengi; 1
Proverbs 15:16Afadhali kuwa na kidogo pamoja na kumcha Bwana, 2 kuliko mali nyingi pamoja na ghasia. 1
Proverbs 16:8Afadhali kitu kidogo pamoja na haki 2 kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu. 1
Proverbs 21:19Ni afadhali kuishi jangwani 2 kuliko kuishi na mke mgomvi na mkorofi. 1