Proverbs 17:19
Yeye apendaye ugomvi apenda dhambi; 2 naye ainuaye sana lango lake + 17:19 Kuinua lango maana yake ni kusema kwa majivuno. hutafuta uharibifu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He loveth transgression that loveth strife: and he that exalteth his gate seeketh destruction.
In Context
18Mtu mjinga hupana mkono ili kuweka rehani, 2 naye huweka dhamana kwa jirani yake. 1
Cross References
1 Samuel 25:36Abigaili alipokwenda kwa Nabali, alikuwa ndani ya nyumba yake akifanya karamu kama ile ya mfalme. Naye alikuwa ana furaha nyingi, akiwa amelewa sana. Kwa hiyo Abigaili hakumwambia mumewe kitu chochote mpaka asubuhi yake.
1 Kings 1:5Basi Adoniya, ambaye mama yake alikuwa Hagithi, akajigamba na kusema, “Mimi nitakuwa mfalme.” Hivyo akajiwekea tayari magari na wapanda farasi, pamoja na watu hamsini wa kumtangulia wakikimbia.
Proverbs 17:14Kuanzisha ugomvi ni kama kutoboa bwawa la maji; 2 kwa hiyo acha jambo hilo kabla mabishano hayajaanza. 1
Proverbs 24:27Maliza kazi zako za nje, 2 nawe uweke mashamba yako tayari, 2 baada ya hayo, jenga nyumba yako. 1
Proverbs 29:22Mtu mwenye hasira huchochea ugomvi, 2 naye mtu mwenye hasira ya haraka 2 hutenda dhambi nyingi. 1
Daniel 4:20Mti uliouona, uliokua ukawa mkubwa na wenye nguvu, nayo ncha yake ikagusa anga na kuonekana duniani kote,