Proverbs 17:18
Mtu mjinga hupana mkono ili kuweka rehani, 2 naye huweka dhamana kwa jirani yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A man void of understanding striketh hands, and becometh surety in the presence of his friend.
In Context
17Rafiki hupenda wakati wote 2 naye ndugu amezaliwa kwa ajili ya wakati wa shida. 1
Cross References
Proverbs 11:15Yeye amdhaminiye mgeni hakika atateseka, 2 bali yeyote akataaye kuunga mkono dhamana ni salama. 1
Proverbs 22:16Yeye amwoneaye maskini ili kujiongezea mali, 2 naye ampaye tajiri zawadi, wote huwa maskini. 1 Misemo Ya Wenye Hekima 1