Proverbs 17:20
Mtu mwenye moyo mpotovu hawezi kufanikiwa; 2 naye ambaye ulimi wake ni mdanganyifu huanguka kwenye taabu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Kuwa na mwana mpumbavu huleta huzuni; 2 hakuna furaha kwa baba wa mpumbavu. 1
Cross References
Psalms 18:26Kwa aliye mtakatifu, unajionyesha kuwa mtakatifu, 2 lakini kwa aliyepotoka, unajionyesha kuwa mkaidi. 1
Proverbs 6:12Mtu mbaya sana na mlaghai, 2 ambaye huzungukazunguka 3 na maneno ya upotovu, 2
Proverbs 10:10Yeye akonyezaye kwa nia mbaya husababisha huzuni, 2 naye mpumbavu apayukaye huangamia. 1
Proverbs 10:31Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima, 2 bali ulimi wa upotovu utakatwa. 1
Ecclesiastes 10:12Maneno yatokayo kinywani mwa mtu mwenye hekima 2 yana neema, 2 bali mpumbavu huangamizwa 2 na midomo yake mwenyewe. 1