The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 19 › Proverbs 19:18

Proverbs 19:18

Mrudi mwanao, kwa maana katika hiyo kuna tumaini, 2 usiwe mshirika katika mauti yake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Chasten thy son while there is hope, and let not thy soul spare for his crying.

In Context

17Yeye amhurumiaye maskini humkopesha Bwana, 2 naye atamtuza kwa aliyotenda. 1

19Mtu mwenye kukasirika haraka ni lazima atapata adhabu yake, 2 kama utamwokoa, itakubidi kufanya hivyo tena. 1

Read all of Proverbs 19

Cross References

Proverbs 13:24Yeye aizuiaye fimbo yake hampendi mwanawe, 2 bali yeye ampendaye 2 huwa mwangalifu kumwadibisha. 1

Proverbs 23:13Usimnyime mtoto adhabu, 2 ukimwadhibu kwa fimbo, hatakufa. 1

Proverbs 29:15Fimbo ya maonyo hutia hekima, 2 bali mtoto aliyeachiwa bila maonyo 2 humwaibisha mama yake. 1

Hebrews 12:7Vumilieni taabu kwa ajili ya kufunzwa adabu. Mungu anawatendea ninyi kama watoto wake, kwa maana ni mtoto yupi asiyeadibishwa na mzazi wake?

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 19:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 19:17Proverbs 19Proverbs 19:19 →