Proverbs 13:24
Yeye aizuiaye fimbo yake hampendi mwanawe, 2 bali yeye ampendaye 2 huwa mwangalifu kumwadibisha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He that spareth his rod hateth his son: but he that loveth him chasteneth him betimes.
In Context
23Shamba la mtu maskini laweza kuzalisha chakula kingi, 2 bali dhuluma hukifutilia mbali. 1
25Mwenye haki hula mpaka akaridhisha moyo wake, 2 bali tumbo la mwovu hutaabika kwa njaa.
Cross References
Proverbs 3:12kwa sababu Bwana huwaadibisha wale awapendao, 2 kama vile baba afanyavyo 2 kwa mwana apendezwaye naye. 1
Proverbs 19:18Mrudi mwanao, kwa maana katika hiyo kuna tumaini, 2 usiwe mshirika katika mauti yake. 1
Proverbs 23:13Usimnyime mtoto adhabu, 2 ukimwadhibu kwa fimbo, hatakufa. 1
Proverbs 29:17Mrudi mwanao, naye atakupa amani, 2 atakufurahisha nafsi yako. 1
Hebrews 12:6kwa sababu Bwana huwaadibisha wale awapendao, 2 na humwadhibu kila mmoja 2 anayemkubali kuwa mwana.”