The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 19 › Proverbs 19:24

Proverbs 19:24

Mtu mvivu hutumbukiza mkono wake kwenye sahani, 2 lakini hawezi hata kuupeleka kwenye kinywa chake! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

A slothful man hideth his hand in his bosom, and will not so much as bring it to his mouth again.

In Context

23Kumcha Bwana huongoza kwenye uzima, 2 kisha mtu hupumzika akiwa ameridhika, 2 bila kuguswa na shida. 1

25Mpige mwenye mzaha, naye mjinga atajifunza busara, 2 mkemee mwenye ufahamu naye atapata maarifa. 1

Read all of Proverbs 19

Cross References

Psalms 74:11Kwa nini unazuia mkono wako, 2 mkono wako wa kuume? 1 Uutoe kutoka makunjo ya vazi lako 2 na uwaangamize! 1

Proverbs 12:27Mtu mvivu haoki mawindo yake, 2 bali mtu mwenye bidii ana mali za thamani. 1

Proverbs 19:15Uvivu huleta usingizi mzito, 2 naye mtu mzembe huona njaa. 1

Proverbs 24:30Nilipita karibu na shamba la mvivu, 2 karibu na shamba la mizabibu la mtu asiye na akili, 1

Proverbs 26:15Mtu mvivu hutumbukiza mkono wake kwenye sahani, 2 naye huchoka kuupeleka kwenye kinywa chake. 1

Mark 14:20Akawajibu, “Ni mmoja miongoni mwenu ninyi kumi na wawili, yule anayechovya mkate kwenye bakuli pamoja nami.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 19:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 19:23Proverbs 19Proverbs 19:25 →