The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 19 › Proverbs 19:5

Proverbs 19:5

Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa, 2 naye amwagaye uongo hataachwa huru. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

A false witness shall not be unpunished, and he that speaketh lies shall not escape.

In Context

4Mali huleta marafiki wengi, 2 bali rafiki wa mtu maskini humwacha. 1

6Wengi hujipendekeza kwa mtawala 2 na kila mmoja ni rafiki wa mtu atoaye zawadi. 1

Read all of Proverbs 19

Cross References

Exodus 23:1“Usieneze habari za uongo. Usimsaidie mtu mwovu kwa kuwa shahidi mwenye nia ya kudhuru wengine.

Deuteronomy 19:16Kama shahidi mwenye nia ya kumdhuru mwingine akisimama kumshtaki mtu kwa uhalifu,

1 Kings 2:9Lakini sasa, usidhani kwamba hana hatia. Wewe ni mtu wa hekima, utajua la kumtendea. Zishushe mvi zake kaburini kwa damu.”

Proverbs 6:19shahidi wa uongo ambaye humwaga uongo, 3 na mtu ambaye huchochea fitina kati ya ndugu. 1 Onyo Dhidi Ya Uasherati 1

Proverbs 19:9Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa, 2 naye amwagaye uongo ataangamia. 1

Daniel 6:24Kwa amri ya mfalme, wale watu waliokuwa wamemshtaki Danieli kwa uongo waliletwa na kutupwa ndani ya lile tundu la simba, pamoja na wake zao na watoto wao. Nao kabla hawajafika chini kwenye sakafu ya lile tundu, simba wakawakamata na kusaga mifupa yao yote.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 19:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 19:4Proverbs 19Proverbs 19:6 →