The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 2 › Proverbs 2:10

Proverbs 2:10

Kwa maana hekima itaingia moyoni mwako, 2 nayo maarifa yataifurahisha nafsi yako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When wisdom entereth into thine heart, and knowledge is pleasant unto thy soul;

In Context

9Ndipo utafahamu lipi lililo kweli na haki 2 na sawa: yaani kila njia nzuri. 1

11Busara itakuhifadhi 2 na ufahamu utakulinda. 1

Read all of Proverbs 2

Cross References

Job 23:12Sijaziacha amri zilizotoka midomoni mwake; 2 nimeyathamini maneno ya kinywa chake kuliko chakula changu cha kila siku. 1

Psalms 104:34Kutafakari kwangu na kumpendeze yeye, 2 ninapofurahi katika Bwana. 1

Psalms 119:103Tazama jinsi maneno yako yalivyo matamu kwangu, 2 matamu kuliko asali katika kinywa changu! 1

Psalms 119:162Nafurahia ahadi zako 2 kama mtu aliyepata mateka mengi. 1

Proverbs 14:33Hekima hukaa katika moyo wa mwenye ufahamu 2 bali haijulikani miongoni mwa wapumbavu. 1

Proverbs 24:13Ule asali mwanangu, kwa kuwa ni nzuri; 2 asali kutoka kwenye sega ni tamu kwa kuonja. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 2:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 2:9Proverbs 2Proverbs 2:11 →