Proverbs 2:11
Busara itakuhifadhi 2 na ufahamu utakulinda. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Discretion shall preserve thee, understanding shall keep thee:
In Context
10Kwa maana hekima itaingia moyoni mwako, 2 nayo maarifa yataifurahisha nafsi yako. 1
12Hekima itakuokoa kutoka njia za waovu, 2 kutoka kwa watu ambao maneno yao yamepotoka, 1
Cross References
Psalms 119:9Kijana aifanye njia yake kuwa safi jinsi gani? 2 Ni kwa kutii, akilifuata neno lako. 1
Proverbs 6:22Wakati utembeapo, yatakuongoza; 2 wakati ulalapo, yatakulinda; 2 wakati uamkapo, yatazungumza nawe. 1
Ecclesiastes 10:10Kama shoka ni butu 2 na halikunolewa, 1 nguvu nyingi zinahitajika, 2 lakini ustadi utaleta mafanikio. 1