Proverbs 2:15
ambao mapito yao yamepotoka 2 na ambao ni wapotovu katika njia zao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Whose ways are crooked, and they froward in their paths:
In Context
14wale wapendao kutenda mabaya 2 na kufurahia upotovu wa ubaya, 1
Cross References
Deuteronomy 32:5Wamefanya mambo ya upotovu mbele zake; 2 kwa aibu yao, wao si watoto wake tena, 2 lakini ni kizazi kilicho kiovu na kilichopotoka. 1
Proverbs 21:8Njia ya mwenye hatia ni ya upotovu, 2 bali tabia ya mtu asiye na hatia ni nyofu. 1
Isaiah 59:8Hawajui njia ya amani, 2 hakuna haki katika mapito yao. 1 Wameyageuza kuwa njia za upotovu, 2 hakuna apitaye njia hizo atakayeifahamu amani. 1