Proverbs 2:18
Kwa maana nyumba yake huelekea kwenye kifo 2 na mapito yake kwenye roho za waliokufa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For her house inclineth unto death, and her paths unto the dead.
In Context
17aliyemwacha mwenzi wa ujana wake 2 na kupuuza agano alilofanya mbele ya Mungu. 1
19Hakuna yeyote aendaye kwake akarudi, 2 au kufikia mapito ya uzima. 1
Cross References
Proverbs 5:4lakini mwisho wake ni mchungu kama nyongo, 2 mkali kama upanga ukatao kuwili. 1
Proverbs 7:22Mara huyo kijana alimfuata yule mwanamke 2 kama fahali aendaye machinjoni, 2 kama kulungu aingiaye kwenye kitanzi, 1
Proverbs 7:27Nyumba yake ni njia kuu iendayo kaburini, + 7:27 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 2 ielekeayo chini kwenye vyumba vya mauti.
1 Corinthians 6:9Je, hamjui kwamba wasio haki hawataurithi Ufalme wa Mungu? Msidanganyike: Waasherati, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wahanithi, wala walawiti,
Ephesians 5:5Kwa habari ya mambo haya mjue hakika kwamba: Msherati, wala mtu mwovu, wala mwenye tamaa mbaya, mtu kama huyo ni mwabudu sanamu, kamwe hataurithi Ufalme wa Kristo na wa Mungu.
Revelation 22:15Huko nje wako mbwa, wachawi, wazinzi, wauaji, waabudu sanamu, na kila mtu apendaye udanganyifu na kuufanya.