Proverbs 2:21
Kwa maana wanyofu wataishi katika nchi, 2 nao wasio na lawama watabakia ndani yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For the upright shall dwell in the land, and the perfect shall remain in it.
In Context
20Hivyo utatembea katika njia za watu wema 2 na kushikamana na mapito ya wenye haki. 1
22Bali waovu watakatiliwa mbali kutoka nchi, 2 nao wasio waaminifu watangʼolewa kutoka humo.
Cross References
Job 42:12Bwana akaibariki sehemu ya mwisho ya maisha ya Ayubu kuliko ile ya kwanza. Alikuwa na kondoo elfu kumi na nne, ngamia elfu sita, jozi za mafahali elfu moja, na punda wa kike elfu moja.
Psalms 37:9Kwa maana waovu watakatiliwa mbali, 2 bali wale wanaomtumaini Bwana watairithi nchi. 1
Psalms 37:18Bwana anazifahamu siku za wanyofu, 2 na urithi wao utadumu milele. 1
Psalms 37:29Wenye haki watairithi nchi, 2 na kuishi humo milele. 1
Psalms 112:4Hata gizani nuru humzukia mtu mwadilifu, 2 yule mwenye rehema, huruma na haki. 1