The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 2 › Proverbs 2:22

Proverbs 2:22

Bali waovu watakatiliwa mbali kutoka nchi, 2 nao wasio waaminifu watangʼolewa kutoka humo.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But the wicked shall be cut off from the earth, and the transgressors shall be rooted out of it.

In Context

21Kwa maana wanyofu wataishi katika nchi, 2 nao wasio na lawama watabakia ndani yake. 1

Read all of Proverbs 2

Cross References

Deuteronomy 7:22Bwana Mungu wenu atawafukuza mataifa hayo mbele yenu kidogo kidogo. Hamtaruhusiwa kuwaondoa wote kwa mara moja, la sivyo wanyama mwitu wataongezeka na kuwa karibu nanyi.

Deuteronomy 29:20Bwana kamwe hatakuwa radhi kumsamehe, ghadhabu na wivu wa Mungu vitawaka dhidi ya mtu huyo. Laana zote zilizoandikwa katika kitabu hiki zitamwangukia na Bwana atafuta jina lake chini ya mbingu.

1 Chronicles 10:13Sauli alikufa kwa sababu hakuwa mwaminifu kwa Bwana. Hakulishika neno la Bwana, hata akataka shauri kwa mwaguzi kwa ajili ya uongozi,

Job 21:30kwamba mtu mwovu huepushwa kutoka siku ya maafa, 2 kwamba huokolewa kutoka siku ya ghadhabu? 1

Psalms 37:22Wale wanaobarikiwa na Bwana watairithi nchi, 2 bali wale anaowalaani watakatiliwa mbali. 1

Psalms 37:37Watafakari watu wasio na hatia, 2 wachunguze watu wakamilifu, 2 kuna mafanikio kwa mtu apendaye amani. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 2:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 2:21Proverbs 2