Proverbs 2:20
Hivyo utatembea katika njia za watu wema 2 na kushikamana na mapito ya wenye haki. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
That thou mayest walk in the way of good men, and keep the paths of the righteous.
In Context
19Hakuna yeyote aendaye kwake akarudi, 2 au kufikia mapito ya uzima. 1
21Kwa maana wanyofu wataishi katika nchi, 2 nao wasio na lawama watabakia ndani yake. 1
Cross References
Psalms 119:63Mimi ni rafiki kwa wale wote wakuchao, 2 kwa wote wanaofuata mausia yako. 1
Proverbs 4:11Ninakuongoza katika njia ya hekima 2 na kukuongoza katika mapito yaliyonyooka. 1
Proverbs 13:20Yeye atembeaye na mwenye hekima atapata hekima, 2 bali rafiki wa mpumbavu hupata madhara. 1
Jeremiah 6:16Hivi ndivyo asemavyo Bwana: 1 “Simama kwenye njia panda utazame, 2 ulizia mapito ya zamani, 1 ulizia wapi ilipo njia nzuri, uifuate hiyo, 2 nanyi mtapata raha nafsini mwenu. 2 Lakini ninyi mlisema, ‘Hatutaipita hiyo.’ 1
3 John 1:11Rafiki mpendwa, usiige lile lililo baya bali lile lililo jema. Yeyote atendaye mema atoka kwa Mungu, bali atendaye mabaya hajamwona Mungu.