Proverbs 20:11
Hata mtoto hujulikana kwa matendo yake, 2 kama tabia yake ni safi na adili. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Even a child is known by his doings, whether his work be pure, and whether it be right.
In Context
10Mawe ya kupimia yaliyo tofauti na vipimo tofauti, 2 Bwana huchukia vyote viwili. 1
12Masikio yasikiayo na macho yaonayo, 2 Bwana ndiye alivifanya vyote viwili. 1
Cross References
2 Chronicles 34:3Katika mwaka wa nane wa utawala wake, alipokuwa angali bado mdogo, alianza kumtafuta Mungu wa Daudi baba yake. Katika mwaka wake wa kumi na mbili alianza kusafisha mahali pa juu pa kuabudia miungu pa Yuda na Yerusalemu, akiondoa nguzo za Ashera, sanamu za kuchonga na vinyago vya kusubu.
Psalms 58:3Waovu ni wapotovu tangu kuzaliwa kwao, 2 toka tumboni mwa mama zao 2 ni wakaidi na husema uongo. 1
Proverbs 22:15Upumbavu umefungwa ndani ya moyo wa mtoto, 2 bali fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali naye. 1
Luke 1:15Kwa kuwa atakuwa mkuu mbele za Bwana, kamwe hataonja mvinyo wala kinywaji chochote cha kulevya, naye atajazwa Roho Mtakatifu hata kabla ya kuzaliwa kwake.
Luke 2:46Baada ya siku tatu wakamkuta ndani ya Hekalu, akiwa ameketi katikati ya walimu wa sheria, akiwasikiliza na kuwauliza maswali.