The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 20 › Proverbs 20:12

Proverbs 20:12

Masikio yasikiayo na macho yaonayo, 2 Bwana ndiye alivifanya vyote viwili. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The hearing ear, and the seeing eye, the LORD hath made even both of them.

In Context

11Hata mtoto hujulikana kwa matendo yake, 2 kama tabia yake ni safi na adili. 1

13Usiupende usingizi la sivyo utakuwa maskini, 2 uwe macho nawe utakuwa na chakula cha akiba. 1

Read all of Proverbs 20

Cross References

Exodus 4:11Bwana akamwambia, “Ni nani aliyempa mwanadamu kinywa? Ni nani aliyemfanya mtu kuwa kiziwi au bubu? Ni nani anayempa mtu kuona au upofu? Je, si mimi, Bwana?

Psalms 119:18Yafungue macho yangu nipate kuona 2 mambo ya ajabu katika sheria yako. 1

Acts 26:18uyafumbue macho yao ili wageuke kutoka gizani waingie nuruni, na kutoka kwenye nguvu za Shetani wamgeukie Mungu, ili wapate msamaha wa dhambi na sehemu miongoni mwa wale waliotakaswa kwa kuniamini mimi.’

Ephesians 1:17Nazidi kumwomba Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa utukufu, awajalieni ninyi roho ya hekima na ya ufunuo, ili mpate kumjua zaidi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 20:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 20:11Proverbs 20Proverbs 20:13 →