Proverbs 22:15
Upumbavu umefungwa ndani ya moyo wa mtoto, 2 bali fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali naye. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Foolishness is bound in the heart of a child; but the rod of correction shall drive it far from him.
In Context
Cross References
Psalms 51:5Hakika mimi nilizaliwa mwenye dhambi, 2 mwenye dhambi tangu nilipotungwa mimba kwa mama yangu. 1
Proverbs 19:18Mrudi mwanao, kwa maana katika hiyo kuna tumaini, 2 usiwe mshirika katika mauti yake. 1
Proverbs 23:14Mwadhibu kwa fimbo 2 na kuiokoa nafsi yake kutoka mautini. + 23:14 Mautini maana yake ni Kuzimu. 1
Proverbs 29:17Mrudi mwanao, naye atakupa amani, 2 atakufurahisha nafsi yako. 1
Ephesians 2:3Sisi sote pia tuliishi katikati yao hapo zamani, tukitimiza tamaa za asili yetu ya dhambi na kufuata tamaa zake na mawazo yake. Nasi kwa asili tulikuwa wana wa ghadhabu, kama mtu mwingine yeyote.