Proverbs 20:13
Usiupende usingizi la sivyo utakuwa maskini, 2 uwe macho nawe utakuwa na chakula cha akiba. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Love not sleep, lest thou come to poverty; open thine eyes, and thou shalt be satisfied with bread.
In Context
12Masikio yasikiayo na macho yaonayo, 2 Bwana ndiye alivifanya vyote viwili. 1
14“Haifai, haifai!” asema mnunuzi, 2 kisha huondoka akijisifia ununuzi wake. 1
Cross References
Proverbs 6:11hivyo umaskini utakuja juu yako kama mnyangʼanyi, 2 na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha. 1
Proverbs 12:11Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, 2 bali yeye afuataye mambo ya upuzi hana akili. 1
Proverbs 19:15Uvivu huleta usingizi mzito, 2 naye mtu mzembe huona njaa. 1
Jonah 1:6Nahodha akamwendea na kusema, “Wewe unawezaje kulala? Amka ukamwite mungu wako! Huenda akatuangalia, tusiangamie.”
Romans 13:11Nanyi fanyeni hivi, mkiutambua wakati tulio nao. Saa ya kuamka kutoka usingizini imewadia, kwa maana sasa wokovu wetu umekaribia zaidi kuliko hapo kwanza tulipoamini.
Ephesians 5:14kwa kuwa nuru ndiyo hufanya kila kitu kionekane. Hii ndiyo sababu imesemekana: 1 “Amka, wewe uliyelala, 2 ufufuke kutoka kwa wafu, 2 naye Kristo atakuangazia.”