Proverbs 20:2
Ghadhabu ya mfalme ni kama ngurumo ya simba; 2 yeye amkasirishaye hupoteza uhai wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Mvinyo ni mdhihaki na kileo ni mgomvi; 2 yeyote apotoshwaye navyo hana hekima. 1
3Ni kwa heshima ya mtu kujitenga ugomvi, 2 bali kila mpumbavu ni mwepesi kugombana. 1
Cross References
1 Kings 2:23Mfalme Solomoni akaapa kwa Bwana, akasema: “Mungu na aniulie mbali, tena bila huruma, ikiwa Adoniya hatalipa kwa uhai wake kwa ajili ya ombi hili!
Proverbs 8:36Lakini yeyote ashindwaye kunipata 2 hujiumiza mwenyewe; 2 na wote wanichukiao mimi hupenda mauti.”
Proverbs 19:12Ghadhabu ya mfalme ni kama mngurumo wa simba, 2 bali wema wake ni kama umande juu ya nyasi. 1
Hosea 11:10Watamfuata Bwana; 2 atanguruma kama simba. 1 Wakati angurumapo, 2 watoto wake watakuja wakitetemeka 2 kutoka magharibi. 1
Habakkuk 2:10Umefanya shauri la maangamizi ya watu wengi, 2 ukiaibisha nyumba yako mwenyewe, na kupotewa na maisha yako. 1