The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 20 › Proverbs 20:3

Proverbs 20:3

Ni kwa heshima ya mtu kujitenga ugomvi, 2 bali kila mpumbavu ni mwepesi kugombana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

It is an honour for a man to cease from strife: but every fool will be meddling.

In Context

2Ghadhabu ya mfalme ni kama ngurumo ya simba; 2 yeye amkasirishaye hupoteza uhai wake. 1

4Mvivu halimi kwa majira; 2 kwa hiyo wakati wa mavuno hutazama 2 lakini hapati chochote. 1

Read all of Proverbs 20

Cross References

Proverbs 14:17Mtu anayekasirika kwa haraka hufanya mambo ya upumbavu, 2 naye mtu wa hila huchukiwa. 1

Proverbs 16:32Ni afadhali mtu mstahimilivu kuliko shujaa, 2 mtu anayeitawala hasira yake kuliko yule autekaye mji. 1

Proverbs 18:6Midomo ya mpumbavu humletea ugomvi 2 na kinywa chake hualika kipigo. 1

Proverbs 21:24Mtu mwenye kiburi na majivuno, “Mdhihaki” ndilo jina lake; 2 hutenda mambo kwa kiburi kilichozidi. 1

Proverbs 26:17Kama yeye amkamataye mbwa kwa masikio, 2 ndivyo alivyo mtu apitaye njiani na kujiingiza kwenye ugomvi usiomhusu. 1

Ephesians 4:32Kuweni wafadhili na wenye kuhurumiana ninyi kwa ninyi, mkisameheana, kama vile naye Mungu katika Kristo alivyowasamehe ninyi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 20:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 20:2Proverbs 20Proverbs 20:4 →